Kwa Mazingira Bora na Rafiki ya Kusoma

Lake victoria bible college

“Kuwandaa Watumishi Viongozi waliojitoa kikamilifu kwa Mungu na kwa Neno lake, waliobadilishwa Kiroho na kuwezeshwa na Roho Mtakatifu, ili kuyafikia Mataifa kimkakati na Injili ya Yesu Kristo.”

– Kauli lengo

KUHusu LVBC

Chuo cha Lake Victoria Bible College kipo chini ya kanisa la Tanzania Assemblies of God kinapatikana Nyanda za ziwa Victoria Jijini Mwanza.

Chuo hicho kimewekwa kimkakati katika kanda ya ziwa ili kuwahudumia wanachuo kutoka majimbo ya Geita Kaskazini, Geita Kusini, Geita Magharibi, Kagera Kaskazini, Kagera Kusini, Kagera Magharibi, Mara Kaskazini, Mara Magharibi, Mara Mashariki, Mwanza Kaskazini, Mwanza Kusini, Mwanza Magharibi, Simiyu Kaskazini, na Jimbo la Simiyu Kusini.

KOZI TUNAZO ZITOA

colored pencils, paint, heart
Walimu wa watoto

Astashahada ya walimu wa watoto na shule ya awali imelenga kuwaandaa watumishi kwa ajili ya kufundisha watoto makanisani na pia katika shule za awali.

open, bible, hand
Huduma na Biblia

Stashahada ya Huduma na Biblia hutolewa kwa miaka 2 kwa waliopita chuo cha kupanda makanisa na miaka 3 kwa wasiopita chuo cha kupanda makanisa

learn, pedagogy, conclusion
Thelojia na Biblia

Shahada hii hutolewa muda wa jioni na kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Global University.

Uongozi wa Chuo

Lake Victoria Bible College

Douglas Mwosi

Rev. Douglas Mwosi

Mkuu wa Chuo

I am Biograph

DMwosi

Adam C

Mkuu wa Taaluma

I am Biograph

Lary Flint

Msajili wa Chuo

I am biograph

Melisa

Menaja Shughuli

I am biograph

0987654321