kuhusu chuo cha lvbc

historia ya chuo

 

Mnamo mwaka 1994 Mmisionari Jim Petersen aliye kuwepo Mwanza mwaka wa 1994 aliponunua eneo hili kwa ajili ya ujenzi wa KITUO CHA MIKUTANO, kwa matumizi ya mikutano na semina mbalimbali. April 2000 Mmishenari Jerry Spain alibadilisha maono ya kuwa kituo cha Mikutano na badala yake kuwa Chuo cha kuwaandaa wachungaji kwa kanda ya ziwa Victoria. Chuo kilianza kupokea rasmi wanachuo mwaka 2001, Chini ya Uongozi wa Mkuu wa Chuo Mchungaji Ron Swai, Rebeka Kakila na Mama Joyce Jarvis walikuwa wakufunzi wa kwanza

0987654321