Stashahada ya Huduma na Biblia

Namna ya kujiunga na Kozi hii ya Dipoloma.

  1. Kwa wale wasiopita chuo cha kupanda makanisa watasoma kozi hii kwa miaka 3
  2. Kwa wale waliopita chuo cha kupanda makanisa watasoma kozi hii kwa miaka 2
  3. Kwa wale watakaosoma muda wa jioni kutokana na kutingwa na shughuli nyingi kozi hii watasoma kwa miaka 3
Ili kujiunga bonyeza kitufe kifuatacho kupakua fomu yenye maelezo ya kujiunga
0987654321