Astashahada ya Huduma ya mtoto na ualimu shule za chekechea

Tunakukaribisha kujiunga na kozi ya Huduma ya Mtoto & Ualimu wa Shule za Chekechea
inayotolewa katika Chuo hiki cha Tanzania Assemblies of God, Lake Victoria Bible College
(TAG LVBC). Kauli Mbiu ya Chuo ni “Kuandaa Walimu Watumishi Bora Katika Msingi Wa
Kibiblia Waliojaa Roho Mtakatifu Ili Kuwafikia Watoto Duniani Kwa Injili Ya Yesu Kristo”.
Tunakukaribisha ujiunge na idadi kubwa ya wanachuo wa Lake Victoria Bible College – Kitengo
cha Huduma ya Mtoto.

Ili kujiunga bonyeza kitufe kifuatacho kupakua fomu yenye maelezo ya kujiunga

0987654321